Kuhusu sisi
Zabibu Company Limited ni kampuni ya ubunifu wa masoko ya kidijitali iliyoanzishwa Tanzania, ikilenga kusaidia biashara kukua na kufikia wateja wengi zaidi kupitia teknolojia za kisasa. Tunatoa huduma mbalimbali ikiwemo usimamizi wa mitandao ya kijamii, utengenezaji wa tovuti, matangazo ya mtandaoni, ubunifu wa michoro (graphics design), pamoja na mikakati ya kuongeza mauzo na uonekano wa biashara mtandaoni.
Our mission (Dhima)
Kutoa huduma bora, zenye ubunifu na zenye matokeo katika masoko ya kidijitali kwa kutumia teknolojia ya kisasa, ili kusaidia biashara kufikia wateja wao kwa ufanisi, kuongeza mauzo, na kujenga uhusiano wa kudumu na wateja wao.
Our vision (Dira)
Kuwa kampuni inayoongoza Afrika katika kutoa suluhisho bunifu za masoko ya kidijitali zinazochochea ukuaji wa biashara na uchumi wa kidijitali.
Our team
Our strength lies in our individuality. Set up by Esther Bryce, the team strives to bring in the best talent in various fields, from architecture to interior design and sales.
Esther Bryce
Founder / Interior designer
Lianne Wilson
Broker
Jaden Smith
Architect
Jessica Kim
Photographer
Tufatilie
Kwa mawasiliano au kuunga mkono
Phone
zabibu@ononetech.io
Zabibu Company Limited © 2026. All rights reserved.
